Mwongozo wa mtumiaji wa HMD Skyline

Skip to main content
All Devices
Download

HMD Skyline

Download

Anwani

Ongeza anwani

  1. Gusa Anwani > +.
  2. Jaza maelezo.
  3. Gusa HIFADHI.

Hifadhi jina kutoka kwenye historia ya simu

  1. Gusa phone > schedule ili uone historia ya simu yako.
  2. Gusa nambari unayotaka kuhifadhi.
  3. Gusa Ongeza anwani. Ikiwa hii ni anwani mpya, charaza maelezo ya anwani, na uguse Hifadhi. Ikiwa anwani hii tayari iko kwenye orodha yako ya anwani, gusa Ongeza kwa zilizopo, chagua anwani, na uguse Hifadhi.
Did you find this helpful?

Useful Links

Software UpdatesProduct WarrantyFull SpecificationsEnvironmental Profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Unganika na marafiki na familia yako
  • Simu
  • Anwani
  • Tuma ujumbe
  • Barua

Set Location And Language

OSZAR »